Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usipopambana mwenyewe kuonyesha uwezo/kipaji chako hakuna mtu atajua wala kukufuata hapo ulipo. Na hata Mungu alishamaliza kazi yake kwa kukujalia uwezo, kazi kwako kuutumia kuboresha maisha yako.