Chunga mdomo wako acha tabia ya kujibizana na kila mtu huko mitaani. Kuna watu wana mambo mengi kichwani. Watu wamepigwa matukio wana hasira usipoangalia watazimalizia kwako. Majibizano yasiyo faida kwako achana nayo. Bora uonekane fala kuliko kurudi home na ngeu.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.