Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jifunze kusema hapana inatosha bila kujali utapoteza kitu gani kwenye maisha yako ulevi kwenye kitu chochote ni hatari sana
Unaweza ukapata aibu, maumivu, kupoteza ila ikarudisha heshima yako na thamani yako.
Neno hapana inatosha ni hatma yako.
Unaweza ukapata aibu, maumivu, kupoteza ila ikarudisha heshima yako na thamani yako.
Neno hapana inatosha ni hatma yako.