Watu hawakuchukii bure tu lazima kuna kitu kizuri unacho na wao hawana. Au kuna jambo fulani unafanya vizuri ambalo wanatamani wangefanya wao. Ukichukiwa jua una kitu zaidi yao
Tabia ya kuahirisha kufanya jambo fulani. Kuogopa kujaribu, Hiyo ni kazi ya shetani. Anajua uwezo mkubwa ulionao na hataki kwa sababu ukifanikiwa utakuwa umetimiza kusudi la Mungu kwako.
Tatizo kubwa la wanadamu ni kupenda kusikia wakisifiwa tu lakini wahataki uwakosoe kwa mapungufu yaliyoonekana kwao hii ni mbaya na imejaa ubinafs na kujiona miungu watu muda wote wapo sahihi Mungu anawapenda wanyenyekevu kuliko wenye kujikweza omba sana Mungu akuondolee ubinafs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.