myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π―π―Wakati masikini wanafanya matumizi ya gharama ili kuukimbia uhalisia wao , matajiri wao wamewekeza kwenye tamaa ya masikini ili kuutawala uhalisia wao
Upendo..Upendo wa kweli ni pale ambapo unaona furaha ya mwingine kama ushindi wako mwenyewe.
NAKUBALIUwe na mipaka na watu wa karibu nawe. Wawe wema au ni wabaya. Itakusaidia kubaki salama kwenye kila eneo la maisha yako.
SawaUwe na mipaka na watu wa karibu nawe. Wawe wema au ni wabaya. Itakusaidia kubaki salama kwenye kila eneo la maisha yako.
SawasawaUpendo wa kweli ni pale ambapo unaona furaha ya mwingine kama ushindi wako mwenyewe.
β οΈβ οΈWakati huwezi kuwafanya waone mwanga, wafanye wahisi joto.
AiseeWakati masikini wanafanya matumizi ya gharama ili kuukimbia uhalisia wao , matajiri wao wamewekeza kwenye tamaa ya masikini ili kuutawala uhalisia wao
βοΈβοΈWakati masikini wanafanya matumizi ya gharama ili kuukimbia uhalisia wao , matajiri wao wamewekeza kwenye tamaa ya masikini ili kuutawala uhalisia wao
UPENDO..Upendo wa kweli ni pale ambapo unaona furaha ya mwingine kama ushindi wako mwenyewe.
ππMaisha ya mtu hujengwa na misingi mitatu: Ndoto zinazotoa mwelekeo, Nidhamu inayo jenga mwendo, na Neema ya Mungu inayo kamilisha safari.
Ikiwa unataka kuishi kwa amani na furaha, usifikirie sana siku zilizopita,usijali sana kuhusu siku zijazo. Zingatia kuishi kikamilifu katika siku ya leo.

Upendo wa kweli ni pale ambapo unaona furaha ya mwingine kama ushindi wako mwenyewe.
Upendo wa kweli ni pale ambapo unaona furaha ya mwingine kama ushindi wako mwenyewe.
Biashara zote ni nzuri na zinalipa. UKIWA UNASIMULIWA.
Watu maskini zaidi ulimwenguni sio wale wasio na pesa..
Ni wale wasio na Tumaini la kesho yao..
Daima uwe na tumaini la kesho yako itakuwa bora zaidi.
Kuwa karibu na wale watu watakao kukumbusha kila mara juu ya Mwenyezi Mungu wako. Watu kama hao ni Wathamani sana, usiwaache kamwe. Ni marafiki wako wa kweli.

ππKubali & furahi kwa yale ambayo Mungu amekubariki, inaweza kuwa ni kitu kidogo lakini kwa wengine, hicho kidogo kinaweza kuwa ndoto yao kubwa.