Chochote unachokitaka maishani mwako, watu wengine wanakihitaji hichohicho pia. Jiamini vya kutosha na ukubali kuwa na mtazamo kwamba unayo fursa sawa na wengine wote kukipata." — Alinena Diane Sawyer
Hatutaishi MILELE hapa duniani! Kikubwa hakikisha kuwa unafanyika baraka katika maisha ya watu wengine ukiwa bado kwenye huo mwili. Kwani siku inakuja, utauacha huo mwili lakini kama uliwagusa watu basi utaendelea kuacha ALAMA ISIYOFUTIKA kwenye maisha yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.