Tatizo kubwa linalopelekea idadi ya faru
kupungua ni ujangili. Hii ni kutokana na
thamani kubwa ya pembe za faru hasa kwaajili
ya biashara kwa nchi zilizoendelea.
Hii hufanya wanyama hawa kuwindwa na
kuuliwa kwa kiasi kikubwa sana na hata baadhi
ya malighafi zao kuibiwa maeneo ya
makumbusho na sehemu za uhifadhi.