Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tofauti na jamii zingine, faru wapatikanao
bara la Afrika hawana meno sehemu ya mbele
ya midomo yao.
 
KUHUSU FARU MWEUPE NA FARU MWEUSI.• Ifahamike kuwa majina haya hayatokani narangi za ngozi zao bali kuna baadhi ya sifatofauti walizonazo ndizo hupelekea mmojakuitwa faru mweupe na mwingine kuitwa farumweusi.
 
Hii ilitafsiriwa vibaya na kuchukuliwa kama
neno "white” (nyeupe). Neno "wyd" lilikuwa
likitumika kwa faru mweupe kwa sababu
mdomo wake ni mpana na butu.
 
Hii ndiyo tofauti kubwa kati ya faru mweupe nafaru mweusi. Neno "faru mweusi" lilikuja tu ilikutofautisha jamii hizi mbili. Mdomo wa farumweusi umechongoka tofauti na faru mweupe
 
Tofauti hii ndiyo hupelekea faru mweusi kula
majani machanga ya juu hasa kwenye vichaka
vidogo lakini faru mweupe kutokana na umbo
la mdomo wake, yeye hula majani ya chini
kama walavyo ng’ombe.
 
Kila siku mpya inakuja ikiwa imebeba nafasi, matumaini, na baraka ambazo bado hazijafunguliwa. Wakati mwingine safari inaweza kuonekana ndefu, changamoto zikawa nyingi, na nguvu zikaanza kupungua lakini kumbuka, ndani yako kuna nguvu kubwa kuliko kikwazo chochote.
 
Usimpe Nafasi Tena Mtu Aliekuacha Kwa Dharau Maana Hata Pilipili Huoza Nje Lakini Ndani Haipotezi Ukali Wake.
 
Hakuna kinacho unguza mshumaa isipokua ni kile kiuzi kinachokaa ndani yake,
Vile vile kwa sisi wanadamu hakuna wanao tuumiza isipokua wale wanao kaa ndani ya mioyo yetu..!!
 
Wakati mwingine unataka kupumzika,
lakini hata pumziko halina nafasi kwenye haya maisha.
 
Usilolijua haliwezi kukuumiza. Epuka kupenda kujuajua mambo ambayo hauko tayari kuyakabili. Acha yakupite hadi hapo utakapokuwa tayari kuyakabili."
 
Back
Top Bottom