Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiwahi kulazimisha penzi, heshima, au nafasi. Vitu hivi vitatu vikilazimishwa vinaumiza zaidi ya kisu. Ukihisi havipo, ondoka.
 
Wema ukizidi, watu wanauzoea kama deni. Ukikaa kimya siku moja, watasema umebadilika. Hawakuelewa, walikufaidi.
 
Ukikosea, jifunze. Ukipoteza, shukuru. Ukijeruhiwa, ponya. Lakini kamwe usiachane na ndoto zako kwa sababu ya changamoto za sasa.
 
Kuna wakati unachoka kuwa na matumaini. Si kwa sababu umekata tamaa, bali kwa sababu matarajio yamekuchosha kupita maumivu.
 
Kuna "nakupenda" linatibu, na kuna "nakupenda" linaangamiza. Jifunze kutofautisha sauti ya pepo na ile ya sumu
 
Usiogope kupitwa. Kuna njia ambazo zikikupita, ni Mungu anakuokoa usijikute unavaa viatu visivyo vya migu yako.
 
Siri ya furaha si kuwa na yote, bali kuridhika na unayoyapata kila hatua. Kumbuka: Ukisubiri mwisho ufurahi, utachoka mapema.
 
Kuna watu wanaonekana wako mbali, lakini ndio wanaokuombea kila siku. Na wengine wapo karibu, lakini wana kiu ya kuanguka kwako.
 
Usijiite maskini kwa sababu hauna pesa. Umaskini wa kweli ni kukosa ndoto, matumaini, na nia ya kupigania kesho yako
 
Usimdharau mtu aliyenyamaza kwenye mabaya yako. Kimya chake ni kishindo cha roho yake — na mara nyingi, kinazidi kelele ya kisasi.
 
Back
Top Bottom