Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni mazuri ukiwa na furaha, ila ni mazuri zaidi watu wengine wakiwa na furaha kupitia wewe.
 
Usipoteze utu wako kwa ajili ya nafasi — nafasi huja na kuondoka, lakini utu unakujenga au kukubomoa.
 
Maisha ni mazuri ukiwa na furaha, ila ni mazuri zaidi watu wengine wakiwa na furaha kupitia wewe.
 
Siku zote, maisha ya mtu huharibiwa na mtu. Sio bahati mbaya, sio mikosi — ni mtu
 
Dunia itakusamehe ukishindwa, lakini haitakusamehe ukifanikiwa. Mafanikio huleta wivu kuliko kosa.
 
Kuna maumivu yanakufundisha jinsi ya kutabasamu mbele ya dunia iliyojaa unafiki. Siyo kwa sababu umepona — bali umezoea.
 
Siku zote, maisha ya mtu huharibiwa na mtu. Sio bahati mbaya, sio mikosi — ni mtu
 
Ukiondoa vicheko vya kinafiki, salamu za masharti, na urafiki wa muda mfupi — utagundua upweke si mbaya kama unavyoogopwa.
 
Kuna watu hawana chochote ila wanakupa kila kitu. Na kuna wenye kila kitu, lakini hukupa mabaki ya muda wao.
 
Ukitoka kwenye maisha yao, wataendelea kama hujawahi kuwepo.
Usijifanye muhimu kwa mtu asiyeona thamani yako. Kujithamini ni hatua ya kwanza ya uponyaji
 
Dunia itakusamehe ukishindwa, lakini haitakusamehe ukifanikiwa. Mafanikio huleta wivu kuliko kosa.
 
Back
Top Bottom