Busara ni pale unapotambua kwamba si kila jambo linahitaji majibu, na si kila mtu anahitaji kujua upande wako wa hadithi.Wengine wanafurahia kukuchafua bila sabuni.
Adui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
Busara ni pale unapotambua kwamba si kila jambo linahitaji majibu, na si kila mtu anahitaji kujua upande wako wa hadithi.Wengine wanafurahia kukuchafua bila sabuni.
Maisha hayatangazi masomo yake, yanafundisha kwa ghafla — kupitia watu, huzuni, na vikwazo.Ukiyavumilia, yatakuweka mahali palipo bora kuliko ulipotoka.
Kuna wakati utakosa kila kitu ulichofikiria kinakufanya kuwa na thamani. Halafu utagundua: thamani yako haikutegemea vitu, bali vile ulivyo hata ukiwa bila kitu
Adui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.