Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kama Una Maono Makubwa kiasi gani Unajihitaji na wewe Mwenyewe Uwepo Jipende Usijitumie Vibaya
 
Maisha ni kupanga ni kuchagua dunia haihitaji maelezo muda ndiyo hutoa majibu sahihi
 
Msaada sio haki yako ni Maamuzi ya Mtu acha kulala mikia Watu hawakusaidii hata wewe Utakuja kua na Maamuzi yako pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…