Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukipenda kukaa na watu wanaopenda kuwasema wengine, Ipo siku wewe ndio Utakua Mada kwao pindi Ukiwa Haupo
 
Ujinga na Ujuaji ni pacha wa kufanana.
Wajinga wengi ni wajuaji na wajuaji wengi ni wajinga wenye kujiamini.
 
Kuna tofauti ya kufanya kazi kwa bidii na kufanya kazi kwa Akili Sio kila alie kimbia anafika mbali wengine wanapotea
 
Tumbo lenye njaa, Miguu iliyo peku, Pochi isiyo na hela, Moyo uliovunjika, Unaweza Kukufunza Vitu muhimu sana kwenye Haya Maisha.
 
Screenshot_20251111-120624_Web Browser.png
 
Back
Top Bottom