Anaye au aliye kuumiza huwezi kumpenda tena kama zamani, Hata neno samahani halina thamani ndani ya jereha lililo vujisha damu kwenye moyo wa mwanadamu.
Unaona jinsi unavyo wasahau watu haraka pindi wanapo fariki, Ndivyo hivyo hivyo na wewe Watakusahau, Kwahiyo Mtu yoyote Asisumbue akili yako ishi maisha yako vile unaona ni Sahihi kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.