Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tamaa ikikusukuma kuingia kwenye Mahusiano Utakua Umeianza Safari ya kupoteza Akili zako
 
Zuri Ulilolitenda Leo, Kesho Watu Uliowatendea Wanaweza Kulisahau, Tenda Tena Zuri Jingine.
 
Zuri Ulilolitenda Leo, Kesho Watu Uliowatendea Wanaweza Kulisahau, Tenda Tena Zuri Jingine.
 
ili Moyo wako Usiwe Mgumu mbele ya viumbe wenzako Usiache kumdhukuru Mwenyezi Mungu
 
Usiwe na haraka ya kupata riziki, mafanikio, kupendwa, wala usiwe na haraka ya kupata kitu kingine chochote.
 
Baadhi ya mambo yanahitaji muda ili yakomae, na baadhi ya ndoto zinahitaji subira ili zitimie.
 
Baadhi ya mambo yanahitaji muda ili yakomae, na baadhi ya ndoto zinahitaji subira ili zitimie.
 
Acha kujilinganisha, kwasababu kila utakapojilinganisha na watu wengine lazima utaona kasoro tu, mwishoe utaishia kusononeka kwa vitu ambavyo hauna, utashindwa kujiamini, utajiona umechelewa kwenye maisha na utasahau una vitu vingi vya kushukuru ambavyo pia watu wengine hawana
💯 fact
 
Kuna mtu anakaa kimya sio kwamba haujui ukweli, Ila anataka kuona Uongo wako Utaishia Wapi.
 
Kwenye maisha ukifikia ule umri wa kung'oa jino na Halioti tena, Basi Hakikisha Hupendi tena Magomvi.
 
Sio kila tatizo ni lazima upambane nalo, Mengine yakimbie matatizo Hayaishagi Yatakuua.
 
Back
Top Bottom