Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ya kumponya mtu muulize kama yuko tayari kuacha vitu, Vilivyo mfanya awe Mgonjwa.
 
Kuna maneno mengine ni nadra sana kuyaskia, Na ukiyaskia tu umepona na unakua Umejifunza.
 
Ishi nawatu vizuri uenda unacho kitafuta Mungu amesha kiweka Kwenye mikono ya watu Tayari.
 
Kuna maneno mengine ni nadra sana kuyaskia, Na ukiyaskia tu umepona na unakua Umejifunza.
 
Ukizaliwa unabebwa na ukifa pia unabebwa, Ila hapa katikati ni lazima Ujibebe Mwenyewe
 
Ukweli Mmoja wapo ambao huwezi kuepuka ni kutambua kuna Watu Mutaachana njiani hawawezi kuenda pamoja na wewe siku zote kuna Muda Utabaki pekeako
 
Ishi maisha yako Mueke Mtu kwenye nafasi aliokuweka yeye lakini la Mwisho simama na Mungu
 
Ishi maisha yako Mueke Mtu kwenye nafasi aliokuweka yeye lakini la Mwisho simama na Mungu
 
Unaishi bila furaha kwasababu hujajua ili Uwe na furaha kuna Watu lazima uachane nao
 
Hata kama Mtu akiongea Vizuri na wewe akijitambulisha kama rafiki haimaanishi kua rafikiyako Acha tabia ya kufunguka kila kitu
 
Back
Top Bottom