Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaweza ukawa unajua kila kitu lakini usiweze kufanya kitu chochote, ndio maana wajuzi wa mambo husema maarifa bila vitendo hubaki kuwa njozi. Hivyo basi kuwa mtu wa kufanya vitu kwa vitendo hata kama ni vitu vidogo vidogo na kwa uchache ili iwe rahisi kwako kutimiza ndoto yako