Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pendelea kuwa mtu wa kujiwazia mambo mazuri na kujitabiria mambo mazuri kwasababu maneno na mawazo yanatabia ya kuvuta uhalisia, hivyo ukijitabiria mambo mazuri utapata mambo mazuri
 
GOAL! Acheampong nets header as Neto assists! Nottingham Forest 0-1 Chelsea

1760793062889.gif
 
Kadri unavyozidi kuwaza vitu vibaya, kujitabiria mambo mabaya, kuhuzunika sana kuhusu matukio ya zamani yaliyokuumiza na kuendelea kujihisi hatia na kusononeka kwa muda mrefu, ndivyo unavyozidi kuufanya mwili wako udhoofike na akili yako ishindwe kufanya kazi vizuri
 
Ishi maisha yako, usitamani vya wenzako, Shukuru na uridhike na ulichonacho na utafute kupitia nguvu zako upate cha kwako cha halali yako, chunga afya yako na imarisha utimamu wako wa akili, Pendelea mema watu wako, Saidia wenye uhitaji na dumu kwenye kufanya ibada
 
Kumchukia mtu ni kuamua kumpa mtu nafasi aishi akilini mwako na amiliki hisia zako, hivyo basi unakuwa mtumwa wa kihisia na kifikra kwa mtu ambae hata hakunufaishi.
 
Maisha ni haya haya na hapo ulipo, na wala usiruhusu huzuni, wasiwasi na msongo wa mawazo kutawala akili yako na kudhoofisha hisia zako.
 
Kujipenda ni hali ya kujikubali jinsi ulivyo, kujithamini,kujiamini na kujali hisia zako na ustawi wa afya yako ya mwili na akili. Upendo ni dawa ya kupona machungu, kabla ya kusubiri kupendwa na wengine ili uwe sawa basi anza kujipenda wewe mwenyewe ili ujikinge dhidi ya upweke
 
Usiumizwe na mafanikio ya watu wengine kwasababu haujui wamepambana kiasi gani kuwa hapo walipo, kuna watu mafanikio yao ndiyo yalikuwa chanzo cha kupoteza furaha ya maisha yao, kwasababu mafanikio wameyapata kwa maumivu makali yasiyoelezeka kutokana na siri nzito nyuma yao
 
Kujipenda ni hali ya kujikubali jinsi ulivyo, kujithamini,kujiamini na kujali hisia zako na ustawi wa afya yako ya mwili na akili. Upendo ni dawa ya kupona machungu, kabla ya kusubiri kupendwa na wengine ili uwe sawa basi anza kujipenda wewe mwenyewe ili ujikinge dhidi ya upweke
 
Kwenye maisha utagundugua ya kwamba watu huja na kuondoka kwenye maisha yako, sio kama wote hawakupendi lahasha bali na wao pia wanahitaji kutengana na wewe ili na wao wajenge maisha yao, hapo ndipo utajifunza ya kwamba kuna muda unahitaji kuishi mwenyewe bila ya kuwa mpweke.
 
Wasiwasi,Woga, hofu, huzuni na Stress huweza kukusababishia kuota ndoto za kutisha sana lakini ndoto hizo za kutisha zinaweza kufanya hali yako kuwa mbaya zaidi. Ulichokiwaza kwa mchana kutwa kimetafsiriwa ndotoni na ukatengeneza tafsiri mbaya na ukaiamini na ikabaki kukutesa
 
Back
Top Bottom