Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naskia this naskia that. Huwa
hawapendi kusikia zuri kutoka kwako. Maana hao ndio Wachawi wako.
 
Mara nyingi uwezavyo epuka kuzoeana na
Mtu bila ya sababu. Binadamu anakupa
heshima kubwa sana kabla hajakuzoea na
huwa anaipunguza kila mara kwa kadri
mnavyo endelea kuzoeana.
 
Inachukua miezi tisa kuzaliwa, lakini inachukua siku moja tu kufa. Kifo ni chepesi kuliko uhai, linda afya yako, tenga muda wa kumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom