"Huu ni ukweli mzito Ambao Kila mtu. Lazima asijifunze kukubali.kuna wakati mambo yatatokea ambayo sio haki kwako. Lakini HUWEZI kuruhusu hili likuzuie kuishi Maisha yako
Katika Maisha Kila Mtu Unayekutana Naye Kuna Kusudi Ziwa Watu Wengine Watakujaribu, Wengine Watakutumia, Wengine Watakuonyesha Thamani Yako. Lakini Kila Mtu Atakufundisha Kitu Kuhusu Wewe. Kwa hii usimdharau mtu yeyote maana kila mtu hufaa kwa nyakati yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.