Maisha ni zawadi ya thamani sana, chukua muda kufurahia kila baraka inayokuja kwako na daima usiache kuwa na moyo wa shukrani, juu ya baraka Mungu ameweka ndani yako kwa viwango vya juu, kwani kushukuru ni kuomba tena na shukrani
hufungua milango ya baraka zaidi na zaidi