Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wema Ni Akiba Na Uwaminifu Ni Akiba Ukitaka Kuamini Kwenye Mambo Makubwa Kuwa Muamini Kwenye Mambo Madogo
 
Kumbuka kwenye maisha siku zote KAULI ni ufunguo wa heri au shari, fursa au kikwazo, huruma au husuda, tuzo au adhabu, kuheshimiwa au kudharauliwa.
Linda kauli kwa wivu mkubwa.
 
Kwenye Maisha ya Kila siku zote JIFUNZE kutuliza MOYO wako, Kubali mapungufu yako, Rahisisha mahitaji yako, Ridhika na ulichonacho, Ongeza kipato chako, Chunga tamaa mbaya. Siku zote utafanikiwa kutimiza ndoto zako
 
Muda Mwingine Watu wanalia si kwamba Wao ni wadhaifu sana Hapana, wengine Wanalia kwa kuwa wamevumilia sana bila Matumaini yoyote.
 
Kama hauna imani, basi hauna uhakika, na kama hauna uhakika, basi hauna unachotarajia, na kama hauna unachotarajia basi,,hakuna kile utapata. Sahau kabisa
 
Vizuri vina gharama, na vya bure vina bei; ndiyo maana Waswahili walisema, Bure ni ghali.
 
Kesho Yako Inajengwa Na MAANDALIZI, Haijengwi Kwa HOFU Wala Mashaka. Vaa Ujasiri Hakuna USHINDI Bila Kujitoa
 
kama huwezi kujizuia kuongea basi ongea mazuri kuhusu rafiki yako; nyamanza kuhusu adui yako. Fanya basi kujiheshimu. Wakati mwingine ni bora unyamanze wajue una akili kuliko kuongea wakajua huna akili. Shauri yako! Hakikisha mdomo wako unakulinda kila wakati.
 
Back
Top Bottom