Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbongo ndo kwanza analisogeza katikati ya njia ili na wengine liwaumize.Jiwe lililokuumiza wewe mguuni usiruhusu limuumize na mwenzako. Lisogeze pembeni ili wenzako wapite kwa amani. Hakika Mungu atakulipa kheri.