Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20251124-142741_Web Browser.png
 
Mkubali kila mmoja kwa jinsi alivyo, lakini usimpe nafasi asiyo stahili katika maisha yako!
 
Kila baraka kubwa aliyo nayo mtu leo ilianza kwa udogo. Usidharau baraka ndogo ndogo zimebeba maongezeko makubwa..
 
Kila jua linapo chomoza, Mungu ana tukumbusha kuwa hata baada ya giza la majonzi, mwanga wa tumaini bado unawaka
 
Uaminifu siku hizi ni kama password ya Wi-Fi, kila mtu ana iomba lakini wachache wanao ijua!
 
Riziki ni ya Mungu, lakini jasho lako ndilo linalo thibitisha imani yako katika baraka Zake.
 
Back
Top Bottom