Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanaweza kukuona ukiwa na nguvu lakini hawajui ni mara ngapi ulianguka ukanyamaza.
 
Ukarimu ni urithi na ni kitu kingine ambacho kama mtu anacho basi hakiwezi kuibiwa kutoka kwake.
 
Maisha hayapimwi kwa urahisi wake, bali kwa uwezo wako wa kusimama hata baada ya kuanguka.
 
Juhudi zetu ni sala, na Mungu huzikusanya zote kama ushuhuda wa jitihada. Tusichoke kumu omba, maana faraja yake haichelewi.
 
Kila huzuni ina mwisho, na kila giza lina nafasi ya mwanga. Endelea kupambana, maana subira ni daraja la mafanikio.
 
Jitahidi sana pindi unapo toa msaada usi tegemee kupata msaada maana katika kutegemea kupata msaada uta shindwa kutoa msaada tena.
 
Hatuna budi kuyaacha yale maisha tuliyoyarajia tutakuwa nayo ili kuyapa nafasi maisha ambayo tumejaaliwa kuyapata
 
Heshima yako inaanza na jinsi unavyojiona wewe mwenyewe na si jinsi wanavyokuona wengine
 
Back
Top Bottom