Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20251125-092933_Web Browser.png
 
Miaka ile ilikuwa ya dhahabu sana.
Tulitaniana, tulifurahi kwa pamoja.

Kuna IDs sizioni kabisa, BAK capitalpool Bilionea Asigwa Yegomasika na wengineo.

Nimerudi rasmi kwenye huu uzi wetu mkuu🤝🤝.
Hawa watu wote wapo ila nadhani ni majukumu.
Mkuu capitalpool yupo, mkuu andjul nakutana naye kwenye majukwaa wengine mkuu BAK na mkuu Yegomasika wao wamepotea kabisa hapa Jf.
Mkuu wetu profesa Shimba ya Buyenze yeye yupo ingawa amechoshwa na uzi huu.
Mkuu @ningendako amepotea kabisa.
Mkuu antimatter yeye amezamia kwenye siasa mkuu madam ISIS haonekni na hajulikani alipo.
Mkuu mzee wa liver huwa anakuwepo hapa.
The Happiness amepotea.
carbamazepine namuona majukwaa mengine kijana mpole Cole Williams namuona kwenye majukwaa mengine yule kijana kutoka. Kizimkazi namuona mara kwa mara anakuja na majina tofauti tofauti.
Mzee wetu myoyambendi na ndugu yetu Numbisa wao wameubeba uzi huu mabegani mwao.
Ni hivyo tu profesa
 
Mkuu wetu profesa Shimba ya Buyenze yeye yupo ingawa anechoshwa na uzi huu.
Mkuu @ningendako amepotea kabisa.
Mkuu antimatter yeye amezamia kwenye siasa mkuu madam ISIS haonekni na hajulikani alipo.
Mkuu mzee wa liver huwa anakuwepo hapa.
The Happiness amepotea.
carbamazepine namuona majukwaa mengine kijana mpole Cole Williams namuona kwenye majukwaa mengine yule kijana kutoka. Kizimkazi namuona mara kwa mara anakuja na majina tofauti tofauti.
Mzee wetu myoyambendi na ndugu yetu Numbisa wao wameubeba uzi huu mabegani mwao.
Ni hivyo tu profesa
😁😁😁
Ulivyoconclude sasa.@Ni hivyo tu Profesa.

Ni kweli wengi wao hawaonekani kabisa jukwaani, inawezekana walibadili IDs.
 
Madam ISIS yeye aliwahi sema anapitia changamoto furani.
@Ningendako amebadiri I'd na kuhama uzi.
@Jakitoo pia amebadirisha Id
Mideko sasa ni Midekoo .
Lakini mkuu hata wewe ulipotea
Ni kweli mkuu, nilipotea lakini sio jukwaani. Nilipotea kwenye huu uzi.

Numbisa tunakutana sana huko mitaani.
Hata wewe mara 1 moja nakuona huko mitaani.
 
Hawa watu wote wapo ila nadhani ni majukumu.
Mkuu capitalpool yupo, mkuu andjul nakutana naye kwenye majukwaa wengine mkuu BAK na mkuu Yegomasika wao wamepotea kabisa hapa Jf.
Mkuu wetu profesa Shimba ya Buyenze yeye yupo ingawa amechoshwa na uzi huu.
Mkuu @ningendako amepotea kabisa.
Mkuu antimatter yeye amezamia kwenye siasa mkuu madam ISIS haonekni na hajulikani alipo.
Mkuu mzee wa liver huwa anakuwepo hapa.
The Happiness amepotea.
carbamazepine namuona majukwaa mengine kijana mpole Cole Williams namuona kwenye majukwaa mengine yule kijana kutoka. Kizimkazi namuona mara kwa mara anakuja na majina tofauti tofauti.
Mzee wetu myoyambendi na ndugu yetu Numbisa wao wameubeba uzi huu mabegani mwao.
Ni hivyo tu profesa
😆😆😆😆😆😆😆
Tangu binti mpole aache tafiti zake zile nzito nimejikuta mzito sana kuingia huku
 
Back
Top Bottom