Ajabu nyingine ni kwamba watu hutumia mda wao kujionyesha kwa kutumia pesa ambazo katika uhalisia hawana, kuwaamisha watu ambao hata wao hizo pesa pia hawana!
Saikolojia: Mtu anaecheka cheka hata kwa mambo ambayo hayachekeshi kuna uwezekano mkubwa kuwa ana huzuni, Mtu anapenda kulala kwa muda mrefu kuna uwezekano mkubwa anasumbuliwa na upweke.
Je, Wajua?
Fisi utawala wake huongozwa na Jike ambaye huwa na umbo kubwa na ndiyo mtoa maamuzi kwa kila kitu. Huishi kiukoo ambapo huweza kufikia mpaka 80. Kwao Dume hana la kusema lolote, sawa na Mwanaume suruali tu.
Siku ukikua kiakili ndio utagundua yakua kukaa kimya ni kitu kizuri sana kuliko kuzungumza sana pia utagundua kumlaumu na kumlalamikia sana mtu asiyekujali kama wewe unavyomjali sio jambo zuri kama kutabasamu na kumuangalia tu kama sanamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.