Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila asubuhi ni tangazo jipya la upendo wa Mungu kwa wale wanao amini katika nguvu ya rehema zake
 
Sio kila anaye kutabasamia ana kutakia mema, wengine wana ngoja uanguke ili waseme “tulijua.”.
 
Usicheke tone la machozi la mwingine, maana kesho hujui nani ata kufutia lako. Dunia ni duara, huzunguka kwa siri za Mungu, leo una tembea juu, kesho unawezi kuwa chini, na unaye mwona dhaifu leo, ndiye atakaye kuwa msaada wako kesho.
 
Kiasi kidogo cha upendo kinacho toka moyoni, kina thamani zaidi kuliko mali nyingi zisizo na roho ya utu.
 
Mahusiano hujengwa na ukweli, hukomazwa kwa uaminifu, na hupendeza zaidi yakiwa katika msingi wa uvumilivu.
 
Ukiona jambo hulielewi elewi lipe muda, ukiona humuelewi mpe muda, muda ni mwalimu mzuri na hueleza ukweli..
 
Ukiona watu hawakuelewi, ujue hujaeleweka; usiwakasirikie, endelea kuwaelewesha zaidi hadi waelewe. Ukiwakasirikia, unawafanya wasikuelewe zaidi.
 
Ni vigumu kukaribisha katika maisha yako elimu na maarifa mapya ikiwa unakumbatia kwa wivu mkubwa elimu na maarifa uliyokuwa nayo tayari. Si wakati wote kujifunza ni kuongeza elimu au maarifa, wakati mwingine kujifunza ni kupoteza au kufuta ulichowahi kukijua kabla.
 
Si kila mtu alie karibu na wewe ni wa kuamini, na si kila alie mbali ni adui.
 
Una hiyari ya kuuelewa wakati au wakati ukueleweshe kwa njia itakayoona inafaa."
 
Self awareness ni uwezo wa mtu kujitambua, kujifahamu madhaifu yake, mazuri yake yaani strength and weakness
 
SELF AWARENESS!!!!
Kwenye maisha ni muhimu sana mtu kujifahamu yeye mwenyewe. Ni muhimu mtu kujijua na kufahamu juu ya uwezo wake.
 
Ule msemo “Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili” unafanya kazi tofauti kipindi hiki.. sikuhizi ugumu wa maisha unakufanya unachanganyikiwa kiakili
 
Kwenye maisha kuna mambo hata kama wewe hupendi kufanya wengine watafanya..
 
Je, Wajua?
Baadhi ya Wadudu kama "Nzi dume" hunywa Pombe kama Mapenzi yakiwachanganya (Akikataliwa kumpanda Jike).
 
Tumia macho — kuona mbali.

2. Tumia masikio — kusikia zaidi.

3. Tumia akili — kuchuja.

4. Tumia moyo — kusamehe.

5. Tumia imani — kuendelea mbele.
 
Fisi akiwa na njaa, akili yake hushuka mpaka kufikia asilimia hata 0 hapo ndipo huwa hatari zaidi sababu anaweza kuingia hata kwenye kundi la Mbwa mwitu wengi kwaajili ya kupora chakula, Watu wanaita Kujilipua
 
Back
Top Bottom