Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Chuo ndo sehemu pekee ya kujenga network na kutafuta watu wa kukuingiza kwenye system an ecosystems.
Hii ndio akili kubwa sasaBiashara Ubunifu
View attachment 3507461
Hahaha!Hivi ndio akili kubwa sasa
😂😂😂😂😂😂Kama unadhani watu hawana habari na wewe jaribu kukwepa deni.!
Hizi ndio tafiti nizipendazo sasa 😅😅😅Je, Wajua?
Fisi utawala wake huongozwa na Jike ambaye huwa na umbo kubwa na ndiyo mtoa maamuzi kwa kila kitu. Huishi kiukoo ambapo huweza kufikia mpaka 80. Kwao Dume hana la kusema lolote, sawa na Mwanaume suruali tu.
Aa wapi,mkinga kila kitu ni hela wale. Na ikiwa ni kweli basi wameelimika.Hahaha!
Kweli kabisa.
Hawa ni jirani zako, wakinga.
Basi tuseme huyu yupo tofauti na wenzake😁.Hizi ndio tafiti nizipendazo sasa 😅😅😅
Aa wapi,mkinga kila kitu ni hela wale. Na ikiwa ni kweli basi wameelimika.
Habari ya siku nyingi Lugano
Majukumu yametuandama mamaangu,hawa watoto wa nyongeza tunaosomeshea pensheni wanatufanya kusahau kusosholaizi kwa kweli.Basi tuseme huyu yupo tofauti na wenzake😁.
Salama kabisa mzee wangu, kweli ni siku nyingi.
Hekaheka za maisha zinatufanya tusahau kusosholaizi na wapendwa wetu.