Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukipata mtu anayeweza kukusikiliza kwa umakini —mtu unayemwamini; anayekufanya uamini anakuelewa; asiyekulaumu na kukuhukumu kwa makosa uliyofanya— utaepuka nusu ya magonjwa yasiyoambukiza.
 
Ukiona mtu anakuuliza unafanya kazi gani ujue anataka kukupangia kiwango cha kukuheshimu
 
Kufuata mkumbo kunaweza kuwa rahisi lakini matokeo yake yanaweza kukufundisha umuhimu wa kusimama mwenyewe
 
Kufuata mkumbo kunaweza kuwa rahisi lakini matokeo yake yanaweza kukufundisha umuhimu wa kusimama mwenyewe
 
The TRUTH is the only thing that shall last forever so maybe we should start getting used to speaking just that.
 
Gharama ya kuwaelewa watu ni ndogo kuliko kuwaelewesha, kuwakubali ni ndogo kuliko kuwabadili na kuwasamehe ni ndogo kuliko kuwa na kinyongo."
 
Shuleni unatakiwa uwe bora zaidi kwenye mambo ambayo hayapewi kipaumbele kufundishwa darasani
 
Back
Top Bottom