Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkubali kila mmoja kwa jinsi alivyo, lakini usimpe nafasi asiyo stahili katika maisha yako!
 
Kuwa mwema kwa wote, lakini makini kwa nani unaye mpa nafasi ya kukujua kwa undani.
 
Kila baraka kubwa aliyo nayo mtu leo ilianza kwa udogo. Usidharau baraka ndogo ndogo zimebeba maongezeko makubwa..
 
Kila jua linapo chomoza, Mungu ana tukumbusha kuwa hata baada ya giza la majonzi, mwanga wa tumaini bado unawaka
 
Uaminifu siku hizi ni kama password ya Wi-Fi, kila mtu ana iomba lakini wachache wanao ijua!
 
Riziki ni ya Mungu, lakini jasho lako ndilo linalo thibitisha imani yako katika baraka Zake.
 
Maneno yana weza kuvutia, lakini matendo ndiyo yanayo thibitisha ukweli wa moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…