Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20251127-032200_WhatsApp.png
 
Je wajua? Kumchukia mwanadamu mwenzako
nisawa nakutema mate ju lazma yatakurudia
acha kujichelewesha kwakumtupia mawe kila
mbwa abwekae songa mbele itazame kesho
yako
 
Mwaka 1915, wakati wa Vita ya Kwanza ya
Dunia, Paul alipigwa risasi kichwani.

Risasi hiyo iliharibu sehemu ya ubongo wa
mbele (frontal lobe), eneo linalohusiana na
tabia, hisia, na usingizi.

Baada ya kupona, madaktari waligundua kuwa
Paul alikuwa amepoteza uwezo wa kupata
usingizi na hali hiyo iliendelea hadi kifo chake
mwaka 1955.
 
Mambo muhimu ya kufahamu;

- Ingawa hakuwa anapata usingizi, Paul
hakuonyesha uchovu, kuchanganyikiwa, wala
kupoteza uwezo wa kufikiri.

- Aliendelea kufanya kazi kama kawaida, akiwa
muajiriwa kwenye kampuni ya bima.
 
Alikuwa akipumzisha macho tu kwa maana ya
kufumba mara kwa mara, lakini hakuwahi
kupata usingizi.

- Alikuwa na ratiba ya kula mara nne mchana
na mara nne usiku.

- Anadai kupumzika bila kulala ni moja ya
jambo gumu zaidi kuliko kuwa macho muda
wote.
 
Umbea hupunguza stress, huimarisha uhusiano
na zaidi husaidia watu kuweza kushughulikia
hisia zao kwa ufanisi zaidi kuliko kukaa kimya!
 
Kutumia mkono ambao sio ‘dominant’
kunalazimisha ubongo kutoka kwenye
“autopilot.” Hii hufanya kujilazimisha kuunda
mitandao mipya ya neva na kuhimiza ubongo
kujifunza na kuzoea hali hiyo.

Pia hufanya ubongo kwa pande zote mbili
kushirikiana, jambo linaloongeza nguvu na kasi
ya mawasiliano zaidi.
 
Tafiti: Watu wenye uwezo mkubwa wa ubunifu, ndio wanaongoza kwa kuongea uongo uliotukuka zaidi!
 
Inawezekana unatazama mwili wako kwa juu juu pekee bila kufahamu mambo mengi yaliyojificha kwenye mwili wako
 
Ni hakika kuwa mwili umeumbwa kwa namna ya pekee sana inayouwezesha kufanya kazi pamoja na kuonekana jinsi ulivyo.
 
Back
Top Bottom