Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usingizi Ni Nusu ½ Ya Kifo, Ukiona Umeamka Salama Anza Na Sala au dua Kwa Kumshukuru Muumba Kwa Kukupa Uhai Mwingine Tena..
 
Kitu nilicho jifunza kwenye maisha unaweza kuwa wa muhimu kwa mtu lakini si kila wakati_
 
Mungu akutibu kila kinachokuumiza, aondoe maumivu yako, hofu yako na matatizo uliyonayo na akupe afya njema, furaha na amani
 
Kuna Muda unafika kabisaa unasema pale nilikua napoteza muda Kwa makusudi ukaamua kubadilika na Kuchunga Muda Usipote Kizembe
 
Popote Pale Penye ridhiki Kuna Vita Kubwa Mno, Kiroho na Kimwili Usiache Kumuomba sana Mungu..
 
Maisha ni kioo; unachotabasamu, ndicho kitakachokutabasamu."
Maana yake Mtazamo wako na matendo yako huathiri kile unachopata kutoka kwa maisha.
 
Kile unachokiamini kuhusu leo, ndicho kitakachojenga kesho yako. Amka kwa imani, si kwa hofu.”
 
Mtu anaweza kukusaidia mara elfu, lakini akikuacha mara moja tu, hicho ndicho utakachokumbuka. Kwa nini akili zetu zinapenda kuishikilia huzuni kuliko msaada?"
 
Usikubali kunyanyua kichwa chako kubishana na mtu ambae hata ukikaa kimya huna cha kupoteza
 
Muda Mwingine Jitahidi Kutomuliza Mtu Jambo Ambalo Aliokuficha, Kumbuka Hekima Siku Zote Ni Kumuonesha Kuwa Hujui Baada Ya Wewe Kujua Alichokifanya..
 
Back
Top Bottom