Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni dhahiri kuwa unaweza kuzitumia pesa hadi mwisho wa maisha yako bila hata kujua mambo fulani yanayozihusu.
 
Watu wengi wanafikiri kuwa pesa ya noti imetengenezwa kwa karatasi lakini si kweli. Malighafi zilizotengenezea pesa ya noti, mojawapo ni pamba.
 
Imetengenezwa hivi ili iwe imara zaidi na yenye kukabiliana na mambo kama vile vimiminika na uchafu.
 
Mgunduzi John Shepherd-Barron alipata wazo la kuweka ATM bafuni manamo miaka ya 1960 akiwa bafuni.
 
Utafiti umebaini kuwa kutokana na pesa kupita kwenye mikono na sehemu mbalimbali, nyingi zina virusi vya mafua na chembechembe za madawa ya kulevya (cocaine).
 
Ni dhahiri kuwa watu wote walio hai duniani leo walizikuta pesa na kuna uwezekano wakaondoka kabla ya kuja kwa mbadala wa pesa.
 
Inaaminika kuwa pesa za noti zilibuniwa huko China. Mnamo mwaka wa 910 pesa hizi zilimshangaza Marco Polo alipotembelea China katika safari zake.
 
Watu wengi wanafahamu kuwa madaktari na wanasheria wanahitaji miaka mingi (5 – 6) kufuzu taaluma zao.
 
Lakini taaluma ya kutengeneza pesa “engraiving” inahitaji miaka takriban 15 ili kufuzu.
 
Back
Top Bottom