Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaposafiri utajifunza jografia, utamaduni au hata mtindo wa maisha wa watu wa eneo utakalotembelea
 
Unaposafiri utajifunza jografia, utamaduni au hata mtindo wa maisha wa watu wa eneo utakalotembelea
 
Kwa njia ya kusafiri utapata marafiki mbalimbali ambao watatokana na watu uliokutana nao safarini.
 
Zipo shuhuda kadhaa za watu waliopata marafiki kwenye safari zao waliowafaa katika maisha yao yote.
 
Pia wapo watu waliopata wenzi wa maisha kutokana na kusafiri; hivyo faida hii ya kusafiri haiwezi kuachwa nyuma.
 
Huwezi kufahamu vyema fursa zilizoko kwenye eneo fulani kama hutokwenda kwenye eneo hilo
 
Kwa njia ya kusafiri utaweza kuona fursa mbalimbali ambazo unaweza kuzifanyia kazi na ukajipatia kipato au ukaongeza kipato chako.
 
Unaposafiri kwenda nchi nyingine inayozungumza lugha tofauti na ya kwako ni lazima ujifunze lugha ya nchi husika angalau kwa uchache.
 
Hivyo, kwa njia hii utaongeza idadi ya lugha unazozifahamu na kuwa mwenye tija zaidi.
 
Hivyo, kwa njia hii utaongeza idadi ya lugha unazozifahamu na kuwa mwenye tija zaidi.
 
Faida nyingine ya kusafiri ni kupata mtazamo mpya tofauti na ule uliokuwa nao awali
 
Inawezekana kuna mambo ambayo huwa huyathamini uwapo nyumbani, lakini utayathamini uwapo safarini
 
Inawezekana pia ulikuwa na mtazamo fulani kuhusu watu au eneo fulani, lakini utapata mtazamo mpya baada ya kusafiri kwenda eneo husika.
 
Inawezekana umepata likizo fupi au una muda fulani wa mapumziko kila baada ya kipindi fulani;
 
Back
Top Bottom