myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli kabisaDhahabu ni moja kati ya madini ya thamani duniani
Kweli kabisaDhahabu ni moja kati ya madini ya thamani duniani
SawasawaDhahabu nyingi iliyoko kwenye kokwa (crust) la dunia imetokana na asteroidi zilizoanguka duniani.
📌📌📌Manahodha wengi wa kale walivaa hereni ya dhahabu ili wakizama majini na miili yao itakapookotwa ufukweni, basi hereni hiyo iuzwe ili igaramie garama za mazishi.
✔️✔️✔️Ikiwa utafanikiwa kukusanya dhahabu yote iliyoko baharini, basi kila mtu duniani anaweza kupata dhahabu takriban kilo 4
SawasawaKiungulia husababishwa na asidi zipatikanazo tumboni. Hivyo maziwa (ambayo si mgando) hutengeneza utando maalumu tumboni ambao hupambana na asidi hizi.
Sawasawa kabisa ✔️Yaliyozungumziwa hapa ni faida 10 za kunywa maziwa. Naamini umebaini kuwa maziwa yana manufaa mengi sana kwa ajili ya afya yako zaidi ya haya yaliyotajwa.
SawaKwa miongo kadhaa tafiti zimebaini kuwa maziwa huzuia magongwa kadha wa kadha.
✔️✔️✔️Maziwa yana mchango mkubwa katika ukuaji wa misuli. Hili ni kutokana na protini zinazopatikana katika maziwa.
✔️✔️Huongeza nguvu za mwili
✔️✔️✔️Baada ya kazi nyingi za siku, inashauriwa kunywa angalau bilauri (glass) moja ya maziwa ya uvuguvugu. Hili litakusaidia kukuondolea msongo katika misuli na neva zako za fahamu.
Kweli kabisaHuondoa msongo wa mawazo
✔️✔️Kiungulia huwasumbua sana watu wengi.
Nakubaliana na hiliKwa miongo kadhaa tafiti zimebaini kuwa maziwa huzuia magongwa kadha wa kadha.
Inawezekana hiliPia maziwa huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D; hivyo jitahidi kunywa maziwa kwani maziwa huwa na vitamini D.
Pia InawezekanaPia maziwa huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D; hivyo jitahidi kunywa maziwa kwani maziwa huwa na vitamini D.
SawaHujenga na kulainisha ngozi
Sawa piaHuimarisha meno
Mzee habari za kupotea jukwaaniJioni imeshika kasi