moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu ni nyoka mwenye sumu aitwaye Viper.
Hatariii
Huyo pia Hatariii
Sawasawa kabisa jiraniMapenzi ni safari ya mioyo miwili, inayoshinda vikwazo pale mnaposhikana mikono. Ukiwa na mtu anayekuthamini, kila siku inageuka kuwa zawadi mpya ya furaha.
✔️✔️Kuna watu unaowahifadhi rohoni kama nguzo, lakini kumbe kwa Mungu wao ni kivuli tu.
Unafikiri bila wao hutatembea, kumbe walikuwa wanakuzuia kuona mbali.
Unafikiri bila ushauri wao huwezi, kumbe Mungu alitaka sauti yako ya ndani ijiongeze.
✔️✔️Maisha ya kila siku yatakufundisha jambo hili: Kila mtu anayepotea, anabeba somo. Kila mkatiko wa urafiki, una nafasi ya ukuaji. Kila kimya cha mtu. uliyemtegemea, kinakuambia simama kwa miguu yako. Kila kuangushwa, kunakuambia jifunze njia yako mwenyewe.
✔️✔️✔️Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya kupendwa na kutamaniwa,usipoweza kuuchora vizuri unaweza fikiri umependwa kumbe umetamaniwa.
Nakubaliana na weweKwenye kuachilia usiache kusamehe na kusahau
Hii Hatariii kuliko
SawasawaKwenye kuachilia usiache kusamehe na kusahau
📌📌Usilolijua haliwezi kukuumiza. Epuka kupenda kujuajua mambo ambayo hauko tayari kuyakabili. Acha yakupite hadi hapo utakapokuwa tayari kuyakabili."
Hili kweliMaisha ya kila siku yatakufundisha jambo hili: Kila mtu anayepotea, anabeba somo. Kila mkatiko wa urafiki, una nafasi ya ukuaji. Kila kimya cha mtu. uliyemtegemea, kinakuambia simama kwa miguu yako. Kila kuangushwa, kunakuambia jifunze njia yako mwenyewe.
✅️✅️Kila unapoiona siku mpya usisahau kumshukuru Mungu, tunaishi kwenye dunia ambayo furaha yako ni tatizo kwa wengine na matatizo yako ni furaha kwao.