Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila unapoiona siku mpya usisahau kumshukuru Mungu, tunaishi kwenye dunia ambayo furaha yako ni tatizo kwa wengine na matatizo yako ni furaha kwao.
 
Hatupimi urafiki kwa kuangalia Tumetoka mbali, bali tunaangalia namna wanavyo gusa maisha yetu katika vipindi mbalimbali hasa ule wakati unaokua huna lolote, huna chochote na unakuwa unawahitaj kwa namna moja au nyingine... "
 
Jinsi ambavyo umevurugwa na wengine wamevurugwa hivyo hivyo so usitake kujipa umuhimu sana kwa watu au kujibu watu ovyo ovyo jiheshimu na heshimu watu
 
Kila siku tunakutana na watu wanaoingia kwenye maisha yetu kwa sababu zao wengine wanaingia kukufundisha, wengine kukujaribu,wengine kukuchekesha, wengine kukubadilisha kabisa. Lakini pia wapo wanaoondoka na hao ndio wanaobeba somo la maisha lenye uzito mkubwa zaidi.
 
Ukitaka kupata raha ya maisha duniani mtangulize Mungu kwa kila jambo jema, heshimu watu wanaokuheshimu na ridhika kwa baraka zake zote kubwa na ndogo.
 
Unajua kwa nini wanaondoka? Sio kwa sababu wewe ni mbaya. Sio kwa sababu hukutosha. Na sio kwa sababu uliwakosea. La hasha. Wanaondoka kwa sababu kuna hatua ambayo hutakiwi kuifikia ukiwa nao maishani au ukiwa umewashika mkono.
 
Back
Top Bottom