Mapenzi ni safari ya mioyo miwili, inayoshinda vikwazo pale mnaposhikana mikono. Ukiwa na mtu anayekuthamini, kila siku inageuka kuwa zawadi mpya ya furaha.
Huwezi ukafanikiwa kwa kusema tu, "ishi na watu vizuri" nyumbani kwenu huishi nao vizuri, kamsikilize mzazi wako kwanza, elewana na mlezi wako kwanza, wapende ndugu zako...... sisi wa duniani huku, sisi tunajazia tu.
Maisha ya kila siku yatakufundisha jambo hili: Kila mtu anayepotea, anabeba somo. Kila mkatiko wa urafiki, una nafasi ya ukuaji. Kila kimya cha mtu. uliyemtegemea, kinakuambia simama kwa miguu yako. Kila kuangushwa, kunakuambia jifunze njia yako mwenyewe.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.