Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ngoja nikuambie kitu ambacho maisha yatakufundisha kwa njia ngumu…Maisha hayana huruma kwa anayependa kulalamika, na hayasimami kwa sababu umechoka. Kila siku unayoamka ni nafasi ya kupigana tena, hata kama jana ilikuumiza kupita kiasi.
 
Maisha siyo haki, na siyo kila unayemtendea wema atakurudishia. Wengine watakuvunja, wengine watakucheka, lakini bado utalazimika kuinuka mwenyewe. Hakuna atakayekuja kukubeba mpaka ufanikiwe watu huja baada ya ushindi, si wakati wa mapambano.
 
Screenshot_20251206-073728_Web Browser.png
 
Ubaya wa umaskini ni kwamba haujali kuwa ulikua unaenda shule na yellow school bus au ulisoma kayumba wala CV zako zikoje kama huna kitu unachofanya ili kujikwamua umaskini utakudhalilisha tu fanya jambo my friend umaskini unauma
 
Maisha yanawapenda wanaojituma kimya kimya, wanaotembea bila majivuno lakini kwa uthabiti. Usikate tamaa, kwa sababu safari ngumu ndiyo hujenga roho imara. Na mwisho wa maumivu, kuna mtu mpya ambaye hujui bado unaweza kuwa.
 
Katika dunia iliyojaa maovu mengi,unakutana na mtu kielelezo cha utukufu wa Mungu kwenye kila kitu,ni bahati kubwa na kubwa zaidi ni kusudi la Mungu kukukutanisha na mtu huyo.Yawezekana kusudi lake ni kukuongoza katika njia salama kupitia mfano halisi.
 
Back
Top Bottom