Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila siku tunakutana na watu wanaoingia kwenye maisha yetu kwa sababu zao wengine wanaingia kukufundisha, wengine kukujaribu,wengine kukuchekesha, wengine kukubadilisha kabisa. Lakini pia wapo wanaoondoka na hao ndio wanaobeba somo la maisha lenye uzito mkubwa zaidi.
Muhimu
 
Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi.
📌📌📌
 
Back
Top Bottom