Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,521 Maisha Yanaanza Pale Unapoacha Kuogopa Macho Ya Watu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,522 Ndoto zako ni halali — lakini ni juhudi zako zitakazozifanya kuwa kweli..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,523 Usingizi Ni Nusu ½ Ya Kifo, Ukiona Umeamka Salama Anza Na Sala au dua Kwa Kumshukuru Muumba Kwa Kukupa Uhai Mwingine Tena..
Usingizi Ni Nusu ½ Ya Kifo, Ukiona Umeamka Salama Anza Na Sala au dua Kwa Kumshukuru Muumba Kwa Kukupa Uhai Mwingine Tena..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,524 Kitu nilicho jifunza kwenye maisha unaweza kuwa wa muhimu kwa mtu lakini si kila wakati_
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,525 Umebarikiwa kama una mtu anayekujali bila sababu. Dunia ya leo, kila kitu ni faida
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,526 Mungu akutibu kila kinachokuumiza, aondoe maumivu yako, hofu yako na matatizo uliyonayo na akupe afya njema, furaha na amani
Mungu akutibu kila kinachokuumiza, aondoe maumivu yako, hofu yako na matatizo uliyonayo na akupe afya njema, furaha na amani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,527 Kuna Muda unafika kabisaa unasema pale nilikua napoteza muda Kwa makusudi ukaamua kubadilika na Kuchunga Muda Usipote Kizembe
Kuna Muda unafika kabisaa unasema pale nilikua napoteza muda Kwa makusudi ukaamua kubadilika na Kuchunga Muda Usipote Kizembe
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,528 Popote Pale Penye ridhiki Kuna Vita Kubwa Mno, Kiroho na Kimwili Usiache Kumuomba sana Mungu..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,529 Maisha ni kioo; unachotabasamu, ndicho kitakachokutabasamu." Maana yake Mtazamo wako na matendo yako huathiri kile unachopata kutoka kwa maisha.
Maisha ni kioo; unachotabasamu, ndicho kitakachokutabasamu." Maana yake Mtazamo wako na matendo yako huathiri kile unachopata kutoka kwa maisha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,530 Kile unachokiamini kuhusu leo, ndicho kitakachojenga kesho yako. Amka kwa imani, si kwa hofu.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,531 Mtu anaweza kukusaidia mara elfu, lakini akikuacha mara moja tu, hicho ndicho utakachokumbuka. Kwa nini akili zetu zinapenda kuishikilia huzuni kuliko msaada?"
Mtu anaweza kukusaidia mara elfu, lakini akikuacha mara moja tu, hicho ndicho utakachokumbuka. Kwa nini akili zetu zinapenda kuishikilia huzuni kuliko msaada?"
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,532 Jitahidi kutuliza hasira zako pale unapokasirishwa na mpumbavu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,533 Usiruhusu Watu Wajue Mambo Mengi Kuhusu Wewe Maana Watu Wanabadilika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,534 Iangalie dunia bila kuchagua upande na ujitaidi kuelewa watu wanabadilika
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,535 Usipoidhibiti hasira yako Utaiharibu Kesho yako._
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,536 Usikubali kunyanyua kichwa chako kubishana na mtu ambae hata ukikaa kimya huna cha kupoteza
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 10, 2025 #1,533,537 Kama jua linavyoinuka bila kuchoka, na wewe usichoke kuamini ndoto zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 11, 2025 #1,533,538 Muda Mwingine Jitahidi Kutomuliza Mtu Jambo Ambalo Aliokuficha, Kumbuka Hekima Siku Zote Ni Kumuonesha Kuwa Hujui Baada Ya Wewe Kujua Alichokifanya..
Muda Mwingine Jitahidi Kutomuliza Mtu Jambo Ambalo Aliokuficha, Kumbuka Hekima Siku Zote Ni Kumuonesha Kuwa Hujui Baada Ya Wewe Kujua Alichokifanya..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 11, 2025 #1,533,539 Ukipewa Maumivu Ambayo Wewe Hujawahi Kuwapa Wengine Usiyavumilie._
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 11, 2025 #1,533,540 Ukisubiri Watu Wakuone Ili Uishi, Utaishi Kama Kivuli Cha Wengine._