Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

USIDHANI Kila Anayejitenga Na Watu Ni Mjeuri Au Anajisikia HAPANA kuna Watu Tumepitia Mitihani Ambayo Imetufanya Tuwe na Hofu Ya Kuzoeana na Kila Mtu.
 
Ujasiriamali si uhuru wa kufanya unachotaka, ni kifungo cha kufanya kinachotakiwa kila siku bila kusukumwa
 
Kipindi kijana mdogo anajituma na kupambana , Usimzibie njia na Kumwekea Vikwazo, Mungu huwa ana njia zake za kuwafikisha pale Panapohitajika na Anapostahili Kuwepo
 
Wakati mwingine waombee baraka watu wengine ili wakifanikiwa iwe njia rahisi ya wewe kufanikiwa kupitia wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…