Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi watu wanathamini picha kuliko uhalisia. Wanapenda kuonekana kuliko kuwa kimya. Wanapenda sifa kuliko kazi. Lakini wewe simama kinyume na dunia hii. Tabia yako iwe kama ardhi ambayo hakuna kimbunga kitakachoitikisa.
 
Back
Top Bottom