Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,601 Unatakiwa kuwa mtu wa vitendo, mtu wa commitment, mtu wa direction.Stop wishing, start doing bro!.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,602 Muda haujali hisia zako, bali unaheshimu utekelezaji
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,603 Usiwe mtu anayekaa kuambiwa anza
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,604 Usiwe mtu anayengoja hali ibadilike
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,605 Usiwe mtu anayetamani bila kufanya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,606 Kamwe Hauwezi Kuutambua Ujasiri Wako Bila Kupitia Kwenye Wakati Mgumu.Usiogope.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,607 Tuna Maumivu Mengi Tumeyabeba Ndani ya Mioyo yetu Lakini Tunaamini Bado Lipo Tumaini Jipya kwenye Maisha Yetu
Tuna Maumivu Mengi Tumeyabeba Ndani ya Mioyo yetu Lakini Tunaamini Bado Lipo Tumaini Jipya kwenye Maisha Yetu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,608 Mafanikio Ya Wengine Yasikufanye Ukajikatia Tamaa Na Kujiona Umeshafeli..Tupambane..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,609 Jifunze Kutofautisha Kati Ya Kuwa Mwema Na Kutumiwa Na Kila Mtu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,610 Usikubali Thamani Yako Ipotee Kwa Kuogopa Kuwapoteza Baadhi Ya Watu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,611 Wengi Unaodhani Watakucheka Au Watakubeza Pengine Hawana Muda Na Wewe.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,612 Jamii haikupendi kwa kuwa wewe ni mwema, ila inakuheshimu kwa kuwa wewe ni imara
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,613 Maisha hayampi kila mtu nafasi sawa, lakini humjaribu kila mtu kwa kipimo chake
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,614 Upendo wa watu huishia pale unapokuwa unahitaji msaada wa kweli
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,615 Jamii ya kisasa inatukuza mafanikio ya haraka haraka na kuwapuuza wenye subira
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,616 Wakati Mwingine Unapaswa kusahau kilichopita, Kuthamini kile kilichobaki Na Kutazamia Kile Kinachokuja kwako.
Wakati Mwingine Unapaswa kusahau kilichopita, Kuthamini kile kilichobaki Na Kutazamia Kile Kinachokuja kwako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,617 Majaribu ni mtihani wa Uhuru wa kuishi atakavyo aliopewa mwanadamu duniani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,618 Shetani ndio chanzo cha vita ya ndani Kati ya tamaa za mwili na nafsi na wala si chanzo cha hukumu ya mwisho
Shetani ndio chanzo cha vita ya ndani Kati ya tamaa za mwili na nafsi na wala si chanzo cha hukumu ya mwisho
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,619 Uwepo wa dhambi na maovu duniani hauondoi uwepo wa wajibu wako katika kuikataa dhambi na kuyakemea maovu
Uwepo wa dhambi na maovu duniani hauondoi uwepo wa wajibu wako katika kuikataa dhambi na kuyakemea maovu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 15, 2025 #1,533,620 Kuzichunguza dhambi zako na kujiwajibisha hiyo ni hiari yako , lakini adhabu yake ni ya kweli na haki na iko pale pale inakungoja
Kuzichunguza dhambi zako na kujiwajibisha hiyo ni hiari yako , lakini adhabu yake ni ya kweli na haki na iko pale pale inakungoja