Tulishajaribu kukata tamaa ila tukikumbuka maisha tuliyopitia na kuna watu wanatutegemea tunainuka tena kuendeleza mapambano ili kuwatunza na kuzuia wengine wasiishi kama sisi
Kila siku tunakutana na watu wa aina zote wengine wanakuchekea lakini mioyo yao inasubiri uteleze kidogo tu; wengine wanakutania ili wafichwe kuwa walishindwa; wengine wanakutazama kimya kwa sababu hawajui una nguvu kiasi gani ndani kwa ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.