Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamwe usitegemee kukuta supu kwenye sufuria ambalo hukupika chochote kile ndani yake , kwa kifupi duniani Hakuna cha bure wala hakuna bahati ila isipokua kila kitu kinakuja kwa sababu
 
Usifuatane na dunia hii , ukiifuata utaishia kujisaliti mwenyewe uishi nje ya miiko yako au upotee njia uishie kua mlevi , mvuta bangi , sigara huku ukidhani utapata nafuu lakini wapi
 
Maisha hayakuulizi nia yako ni ipi , yanakuuliza tu kama unaweza kulipa gharama ili kuifikia nia yako
 
Back
Top Bottom