Kamwe usitegemee kukuta supu kwenye sufuria ambalo hukupika chochote kile ndani yake , kwa kifupi duniani Hakuna cha bure wala hakuna bahati ila isipokua kila kitu kinakuja kwa sababu
Usifuatane na dunia hii , ukiifuata utaishia kujisaliti mwenyewe uishi nje ya miiko yako au upotee njia uishie kua mlevi , mvuta bangi , sigara huku ukidhani utapata nafuu lakini wapi