Kama hujazaliwa kwenye familia ya kitajiri na huna connection wala kipaji maalumu , kufanikiwa huku nje ni gharama kubwa mno aidha utalipia kwa kujeruhi afya yako au kuiuza nafsi yako
Kwa kila unae muona jua kuna namna amejeruhiwa na dunia hii , hivyo usiseme dunia haiko fair ila isipokua dunia ipo fair kwa sababu imemjeruhi kila mtu unayemuona ni vile tu hujui watu wamejeruhiwa wapi