Ukweli mchungu huo
Maisha hayana huruma ukiwa chini. Watu wengi wanakupenda ukiwa juu, ukianguka wanajifanya hawakuoni. Ndiyo maana kujipambania sio option, ni lazima.
Kila unapovumilia kudharauliwa, unamfundisha mtu jinsi ya kukutendea. Kimya chako kinaweza kuwa ruhusa ya kuendelea kukuumiza. Usivumilie dharau, chukua hatua
ANGALIA WATU WAKUKAA NAO
1. mwenye kukaa na wanaojua dini kila siku atamkumbuka Mungu
2. mwenye kukaa na matajiri kila siku anazidi kuipenda dunia
3. mwenye kukaa na masikini kila siku anazidi kuichukia dunia
4. mwenye kukaa na wanawake kila siku matamanio yake yanazidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.